
ENDELEA....... Vero aliogopa nakuhisi Oscar anaelekea kukata moto, alimsogelea na kumuuliza lakini Oscar alimtaka amlete vidonge anavyotumia kupunguza maumivu. Haraka alienda kuchukua na kumpatia na Oscar alipomaliza kuvinywa kidogo maumivu aliyokuwa nayo yalipungua lakini bado mtali...mbo wake ulikuwa ndiii. "Niletee maji ya baridi!" "Aya mme wangu" Vero alisogea mpaka kwenye friji na kuja na maji ya baridi na kumpatia. Oscar alianza kuukanda mpini wake na maji ya baridi hali iliyosaidia kidogo japo haikufanya ma...shine yake isinyae zaidi iliendelea qusimama vile vile. "Aise nikizubaa nitakufa" "Kweli mme wangu fanya kitu" "Nipe simu yangu!" Vero alimpatia simu na Oscar alimpigia mfanyabiashara mwenzake
0 Comments