LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18  mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve

ingekuwa ngumu mke wangu lazima ungefanya ambacho nilifanya" nilimkata hilo jicho enhee kitu gani ongea nina mambo mengi nilisema kwa hasira kweli yaani alinitizama tu akaendeleaa kuongea "Sam alikuja akanitishia kama nikikuoaa wewe hapo ataisambaza ile video yako mtandaoni hivyoo ulipasa nikubali na alisema nisikwambie kitu mke wangu kwasababu alitaka nikuumize yaani usiniamini tena , hivyoo nikaaamua kufanya vile kulinda heshima yako mke wangu, sikufanya makusudi, ila baadae nikaja kujua kwamba yule Sam hiyo ndio kawaida yake hat kw yule mwanamke was Shurey alikuwa akimtumiaa sana kwa sababu alikuwa na video yake na alikuwa akimtishia kila siku kwamba asipomuhudumiaa na

Soma zaidi