♥️SAMAHANI DADA ♥️  Natumai hujambo.🌹

🌹 Mapenzi ni sayari iliyojificha, mapenzi ni mmea uliokita mizizi tangu Adam na Eva.♥️ ♥️Niruhusu nikuite darl nawe uniite baby.♥️ Tangu nilipokuona kwa mara ya kwanza mwili ulizizima nayo mapigo ya moyo kunienda mbio,♥️ hii yote ni kwa ajili ya ulivyo mrembo.♥️ ♥️Moyo waniuma nayo nafsi yanisuta nisipokwambia nakupenda nitakuwa sijautendea haki moyo wangu.♥️ ♥️ Naomba uupokee moyo wangu kama zawadi kwako,♥️ fungua sakafu ya moyo wako moyo wangu upate makao.🌹 Nakupenda sana!♥️ Ni mm wako mpendwa, Franco Kissanga the really voice, mwaaaaaa!💋💋

Soma zaidi