
( Nilikata simu nikiwa na falaja tosha Shemeji ameshapata kazi...basi upande wa mume wangu alipigiwa simu na mganga akaenda uko kwa mganga....mimi tena uku sina raha natukanwa mtaani sina kwetu ndio maana navumilia kuzalilishwa yani...pili komwe anavaa mpaka tshirt za mume wangu anapita nazo nyumbani pale mimi kimya...upande wa Shemeji alikuwa anapiga kazi sana bahati yake nzuri boss alimpenda kutokana na jitihada zake alimpandisha cheo na akamwambia) " Tafuta nyumba karibu ukae hapa karibu na kazini. ( Shemeji aliona furaha sana kwenye maisha yake akatafuta kweli nyumba akapangiwa na kampuni...rafiki yake yeye akuhama pale kwenye chumba chake ambapo alimpokea Shemeji..
0 Comments