
Basi nabil alikuwa anakuja kulala na mimi usiku licha ya shenaiza kulala nae chumba kimoja, ila alikuwa anaenda kule kuchukua nguo tu, na sijui hata alimpanga nini shenaizah akawa anakubali tu, ila sasa anakubali kumuachia omari wangu kuja kulala na mimi mpaka asubuh ila omari akiondoka tu kwenda kazini, alikuwa ananionesha joto ya jiwe.. Yaan alivyo na tabia za hovyo akaanza mpaka kunifulisha nguo za ndani za kwake, sikuweka hiyana kwa sababu ndio sina namna, na Yule mama bado hakuwa ananipenda hata kidogo.. Nilijipa moyo konde na kuamin kuwa hata kama kumekuwa giza kiasi gani, haimaanishi kuwa hakutakucha, yaan ni
0 Comments