MJEDA NA BIKRA YANGU  *page Bahari ya simulizi  *SEHEMU YA   13 Na 14*

MJEDA NA BIKRA YANGU *page Bahari ya simulizi *SEHEMU YA 13 Na 14* inafika hatua naomba kwa nguvu kweli mke wangu? Ee yani huwezi tu kunipa kwa hiyari, mpaka tugombane, apo utaniona mimi mkorofi, mimi nakunyanyasa, makosa yote utanipachika mimi, unanifanya nakosa kukuamini naogopa, muda wote nawaza ivi kweli kuna siku utanipenda kiasi kwamba utakuwa tayali kutamba hata huko nje kuwa mimi ni mmeo, mimi ni baba watoto wako, kweli kuna siku itatokea au ndio nikikosea tu kukuto nje... Ndio siku nakupoteza, utapata unaempenda, inamaana mimi nj mbaya sana Re, nina kasoro gani mimi niambie basi, ee niambie natisha? Au

Soma zaidi