
Muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Patric Kanumba alijikuta anashindwa kuzuia hisia zake akiwa katikati ya interview na mtangazaji Said Lumbano na kumsifia Feza Kesi kwakumuuliza mtangazaji umemuona mtoto huyo.
Je unazani nini kilimvutia zaidi Patric Kanumba kwa Feza Kesi tiririka................
Soma zaidi
0 Comments