
NIPE YOTE DADY๐๐๐15 Nilimwangalia yule mama mkwe nikasema inafu is inafu acha leo nimshikishe adabu huyu paka wa kiswahili๐จ๐จ Niliamka na kumsogelea nikamshika mkono na kumtoa chumbani kwangu kisha nikamwambia "sijaona sheria inayosema kwamba kwakua hapa ni kwako basi unaruhusiwa kuingia kwenye chumba changu na mume wangu bila kubisha vp nawewe hukufundwa kama mimi?" Nilivyoongea hivyo alikasirika na kunyenyua mkono ili anipige nikaudaka na kumwambia " usije ukathubutu kurudia hiki unachotaka kukifanya nakuahidi ukirudia kuninyanyulia mkono wako basi nitauvunja na hautoamini๐จ๐จ nilimuachia mkono wake kwa kuusukuma kisha nikamwambia hii nyumba ina wafanyakazi mimi sio mfanyakazi hapa ndani mimi ni mkwe..
0 Comments