
😋 PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA🤠Sehemu ya tatu. 👉 PATRICK kafunge alaka jamani uje kula...👇 Nina hamu mwenzio. ( PATRICK akaona acha ale kisela anafika mlangoni afunge mlango anaona unagongwa anayegonga joji white) " PATRICK Samahani. ( PATRICK akafungua mlango akatoa kichwa tu) " Niambie joji. " Naomba unisindikize hospital anjel anaumwa sana. " Dah poa Shemeji anaumwa sana. " Yah hapa nishaita uba inakuja twende ndugu mimi sijawai kuuguza naona mtihani kweli. " Poa. ( PATRICK akaingia ndani akamwambia amina) " Angel ugonjwa umemzidia namsindikiza hospital ukitoka funguo niweke chini ya zulia. " Poa ila angel na yeye kwanini
0 Comments