???? PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA???? Sehemu ya pili

???? PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA????  Sehemu ya pili

???? PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA???? Sehemu ya pili. ???? Endelea kucheza unajua kweli amina kucheza....???? " PATRICK jamani naona aibu mwenzio. " Samahani nimeingia bila Hodi. " Jamani unapigaje hodi chumbani kwako. ( Mala anjel anaingia kuleta vyombo alivyoosha anjel akashangaa tu kumuona PATRICK ndani) " Shem umepitia wapi? " Nimepita hapo hapo nje nimeona umejiinamia kusugua sufulia. " Poa nilikuwa naosha vikae kwenye usafi. " Poa mimi naenda zangu nilikuja mala moja kuchukua kibegi ichi cha mazoezi. " Sawa. ( Amina akadakia) " PATRICK auna nguo chafu nikufulie nimemisi kufua nguo za mwanaume. " Wewe mke wa mtu sio

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments