BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEASON TWO  SEHEMU YA 21,22

Tulipo ishia Season one Aliamua kukaa mbali na Masha huku kichwani akiwa na mawazo mengine kabisaaaa ..... "Usinambie unataka kumuweka karibu Abby" "Natamani iwe hivyo mana nahisi kuwa na amani nikiwa nae kuliko Masha ,lakini sintafanya hivyo nataka tu kuwa huru na Masha" ,"nikuombe kitu, unajua tangu umeanza kumuongelea Abby, umefanya nimkumbuke sana Vicky ,nilimuona mara chache lakin nilimuelewa sana, kwakua wewe masha anakuelew sana Embu naomba unipelelezee huenda anajua hata ndugu yake mmoja na Vicky " "Unataka kuoaa kakaaa, hahah" Alberto alikubali ombi la Rahul akamwambia atamsaidia huku anamtania ..... TUENDELEEE.... Masha jioni kama kawaida alianda chakula anajua Mr

Soma zaidi