BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEMU YA 51__52

Alberto hata nguvu za kuitika hakuwa nazo akamuuliza recho kwani baba wa huyu mtoto alikuwa ni mzungu ,,,mbona hamkunambia ,kuna kitu mlinificha??” “shem ulivyo hue….” “embu tutoke nje ,, bro vile wewe huna majibu hat huyu hana nafikiri tuje asubuh abby atakuwa sawa tutajua “ Rahul akawakatishia maongezi yao ,, moyoni akajisemea kamjue mwenyewe mwanamke uliempa Maisha ya shida acha usikie kutoka kwakee Alberto hakuwa tayari kuondoka alisema atasubir hapo mpaka hayo masaa nane yapite ,, Rahul na recho wao aliwaruhusu waende kupumzika Rahul alimvuta pembeni boss wake “ abby atakapo amka tu ,, mpatie hiyo saa mwambie ukweli wa

Soma zaidi