Season four 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 154

Season four  𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞: 154

Baada ya hapo sasa ndiyo tulienda kuoga pamoja, Yaani kama mtoto ananipigisha mswaki, ananisugua kwa upendo, na tena ananiambia scrub kasema ujisugue sana, na yeye ndiyo ananisugua na ile dodoki kaniletea. Mpaka nacheka. Ngozi inateleza tu nasikia raha sana, uso unateleza mpaka noana maajabu tu na ndiyo naanza safari. Kiisha tulitoka, tukavaa wenyewe tena tulivaa nguo zinazotaka kufanana hivi. Na aliniambia namna nimependeza na kuonekana mzuri zaidi. Kisha alinishika mkono akiniambia sasa tukanywe chai. Tulipendeza sana, ni umaskini tu ila nakuambia kama una pesa Zanzibar ni sehemu ya kuja kutembea pia. Yaani ni Hotel nzuri pia namna wanahudumia mpaka raha.Mwanaume

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments