DOCTOR SEBASTIAN kapewa jukumu zito la kijeshi la kutengeneza binadamu asieweza kuonekana

👉 Anaaamini atapata usingizi mzuri siku ambayo project yake itakamilika, DOCTOR SEBASTIAN kapewa jukumu zito la kijeshi la kutengeneza binadamu asieweza kuonekana Lengo wanadamu hao watumike katika shughuli za kijeshi.. DOCTOR SEBASTIAN akafanikiwa kufika nusu ya malengo baada ya majaribio kadhaa waliyoyafanya kwa Wanyama kama mbwa na Sokwe kufaulu 🤔 Kazi iliyobaki ikawa ni kuhakiki jaribio hilo kwa mwanadamu, anahitajika mwanadamu mmoja wa kujitolea kufanyiwa jaribio hilo la kidungwa sindano itakayomfanya kuwa invisible 👀 DOCTOR SEBASTIAN akajitolea yeye kudungwa sindano hiyo... mission ikafaulu taratibu akaacha kuonekana baadae akapotea kabisa lakini akizungumza anasikika pia akikugusa lazima uhisi mguso wa kitu 🫣

Soma zaidi