𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa

,Kuna kipindi kilifika nikawa nimechoka Robert na nikawa simpendi ata harufu yake kusikia sitaki .Nikaend mbali zaid ata kumuona sitaki nataman ata asirud kutoka kazini . Napia nilikuwa nachoka sanaaa ,Yan nachoka kupita kiasi na maelezo . Yan ilikuwa nikuchoka kupitiliza ,adi unakuta siku Robert akitoka kazini hakuti chakula maaan mie ndo huwa nampikia yeye dada wakazi anampikia mtoto tu ,mume wangu nampikia mwenyew ila sasa nikawa sipiki sababu ya uchovu . Alafu nikawa Kila siku asubuhi naumwa ,nasijui kwanini Na siku Robert asipo Kuta chakula ananisema Sanaa adi nikawa sipend Kuna siku alirud Kwa kuchelewa akakuta hamn chakula akawa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments