
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 37. Je, wajuwa kwamba umaskini bila deni ni utajiri🤗.. ebuka madeni, ebuka kuwategemea wanadamu😪.. tegemea msaada wao lakn usiwategemee wao wenyewe❣️. Binadamu kinyonga, wategemee ukose kusonga🙏.. Siku zote mm husema mtu maskini ni yule aliyekufa pekee🤗.. sema tu hutaki kufanya kazi na yaishe bwana💔😪.. Hahaa, ni saa tatu asubuhi,, kochini tumekaa mie, Esau, mama Maya na the queen of herself,, baada tu ya kumwangukia mkuu 😂.. maongezi yamechacha kwelikweli🙏. Moyoni nilianza kuhisi ni kama nafaa kumfanyia mamangu revenge😭. Esau had just reminded me of my Mom 😭.. NJERI: sky am sorry to say this but I
0 Comments