
😄🇿🇦Mpiga Picha maarufu wa Afrika Kusini, Vino Snap anasema kuwa usiku wa leo ameota kuwa Mamelodi Sundowns walikuwa wanaongoza 3-0 dhidi ya Real Madrid kwenye Fainali ya FIFA Club World Cup!
Anauliza aendelee kuota ama azinduke upesi?🤣
Soma zaidi
0 Comments