GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono

kisha aliniachanisha na kugeuka ndipo aliponiona mimi akasema: "Laura? "Ndio mimi Laura " "Mbona upo hapa mpaka sasahivi si mmeruhusiwa kuondoka wewe imekuwaje umebaki hapa? "Nilikuwa nakungoja wewe General" "Mimi,  kwanini? "Nilikuwa nataka kuongea na wewe General" "Haya niambie unataka kuongea kitu gani Laura? "Nikweli nakupenda  sana General,    japo nilikuwa nazikataa hisia zangu zakweli,   lakini tangu umeondoka kambini hisia zangu juu yako zimezidi kuongezeka,   nimeteseka sana sili silali nakumis sana mwenzio,  kunamuda  nilikuwa  nalia tuu nikitamani kukuona ata kukusikia tuu  japo sauti yako,   moyo wangu  umeondoka nao General nisamehe mimi nakuhitaji mno" Niliongea huku nikilia kwa hisia zandani ya moyo, 

Soma zaidi