😳🥹😭💔HAYA NDIYO MATESO MAKUBWA ANAYOYAPITIA CHATU BAADA YA KUMEZA MTU 😳🥹😭💔👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Chatu ni nyoka mkubwa wa jamii ya Python, na aina kama chatu wa Afrika (Python sebae) au chatu wa Burma (Python bivittatus) wamewahi kuripotiwa kuwameza wanadamu ingawa ni mara chache sana.Kwa hivyo, na jee chatu anaweza kuchukua muda gani kuondoka eneo la tukio baada ya kummeza mtu? Hii inategemea mambo kadhaa. HAPA NI MUDA ANAOTUMIA CHATU KUONDOKA ENEO LA TUKIO BAADA YA KUMEZA PIA MATESO ANAYOPITIA CHATU BAADA YA KUMEZA MTU. 1. Ukubwa wa mzoga aliyeumeza (mfano: binadamu mzima). Kummeza binadamu mzima ni kazi kubwa kwa chatu. Inachukua muda mrefu kummeza mzoga mkubwa Kummeza tu inaweza kuchukua dakika 30 hadi

Soma zaidi