
anachukuaa kisuu chakee huku akisogeaa mahali ambapo alikuwa Jay anazidii kusogeaa na kupakalibiaa zaidi Jay moyoo juu juu akiwazaa afanyee nn ghaflaa Mask Man Anasikia kamaa kunaa mtu anakujaa karibuu na mlango Mask Man anaamuaa kufunguaa dirishaa na kurukaa hiyoo inakuwaa bahatii ya Jay tuu. "Huuuuh Asante sanaa Allah maanaa hapaa ningepoteza maishaaa kbsaaa"Jay Anasema na kutuliaa mulee ndani kwa mda wa dakikaa kama 10 anaposikiaa utulivu Jay anaamuaa kuondokaa na kurudii kule kwake kwa uchovu wa kazi allikuwa nao anafikaa na kubadili nguo na kulala huku simu yake anaifichaa mahali ambap mtu awezi kuionaa akiwaa na hofu kwambaa mask
0 Comments