
inaonekan kafura hasira balaa mimi nilibaki namtizama tu maana kwa jinsi alivyokuwa amekasirika jamni mhh utasema anatka kumuua mtu maana sio kwa jicho lile la hasira alilokuwa akinitizama mama nikasema hapa leo nisipouliwa mimi nisiitwe Asmy tenaa, alinisubiri nikavuee nguoo halafu nikarudi sebuleni nikakaa "Haya Famrish na Hemed nendeni ndani nataka niongee na huyu dada yenu mjinga mjinga yaani leoo nataka anijibuuu kila swali langu" Famrshi alimchukua Hemed na kwenda nae ndani yeye akabaki na mimi sebuleni "Enhee humu ndani kwangu siku hizi nafuga makahaba sio watu. ambaoo wanawatongoza wanaumee za watu si ndio?, mama yako nilikuwa ndioo nina mambo
0 Comments