*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"

alisema Khalid huku ananigusa gusa mgongoni taratibu aseee yale maneno yalinifanya nilie kwa sauti ya juu kubwaa nilipiga kelele mno kuna muda hadi nikawa nampiga piga kifuani, kwa sababu nilikuwa nalia kwa uchungu hata kam napenda kuliaa hii siku nililia sana, nilikuwa mwekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu na sio kingine kabisa nililia mno jamani hiil siku nilijuaaa nitaumwa baada yapo nililia hadi mwisho sauti ikakauka nikaanza kutoka machozi tu bila sauti ya kilio hii ilimaanisha na mud wote huooo sauti ambayo nilikuwa naisikia pembeni yangu ni ya Lecturer akinitaka nilie mpaka machungu yaishe yotee nililia mpaka nikapitiwa na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments