NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ ♥️   ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š  πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„          ::   SEHEMU YA 38

Mbali kabisa Na Alipo Trisha Nje Kabisa Na Nchi ya Tanzania Ndipo anapo amkia Alex Ni Alex Huyo huyo Furaha Ya Trisha Hakua Na Kumbu Kumbu Kabisa Hakumbuki Chochote kilichotokea kwenye MAISHA Ya Tanzania Baada Ya Kulala Kwenye Koma Kwa zaidi ya Miezi 6 sΓ sa Aliamka Akiwa Hakumbuki Kitu Chochote Alex kuna Baadhi ya Njozi alikua Akizipata Na Alipo Uliza Walimwambia Si Kweli Kama Ubongo wake Ulikua Unashuhurikia Vitu ambavyo Havipo kabisa "Vipi Doctor " "Inaonekana Atawahi sana Kukumbuka Kuliko kawaida Kwa kawaida ingechukua Hata Miaka 3 mpaka Minne Lakin Ndani ya Miezi Hii miwil aliyo Amka Kumbu kumbu zake

Soma zaidi