🔥UWIIIIIIIIIIIIIII BABA MDOGO MIMI MWANAO🔥 Sehemu ya pili. 👉 Wewe tanua nitakupiga sasa...👇 Mimi nikizidiwa nataka tu haki yangu ya ndoa.

🔥UWIIIIIIIIIIIIIII BABA MDOGO MIMI MWANAO🔥  Sehemu ya pili.  👉 Wewe tanua nitakupiga sasa...👇  Mimi nikizidiwa nataka tu haki yangu ya ndoa.

( Niliweka viganja vya mikono kwenye masikio yangu na nikakandamiza kabisa lengo nisisikie maongezi ya baba...msongo wa mawazo na usingizi ukanichukua ikawa afadhali kwangu...mimi ndio wa kwanza kuamka pale sebuleni....asubuhi nikaamka nikafanya usafi...mama akaamka akafua nguo za mikojo yani kama vile anakaa na mtoto mdogo...baba akaamka akaoga akaondoka...mama anapokea simu kutoka kwa mama mdogo mke wa baba mdogo) " Nataka nikutumie nauli nitume kwenye namba hii. " Ndio. " Maana nimeshindwa kutuma kwenye namba ya Shemeji kwa sababu mdogo wake ameniambia aliwai kumtumia nauli akainywea pombe. " Mwenzangu mimi nina mtihani sana mume wangu siku izi anakunywa pombe kweli kweli.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments