
moyoni mwangu nikijua. Leo naenda kusema ukweli na kama kunyesha inyeshe tuu ila leo niliapa naenda kusema ukweli kwa maelezo alionipa babaa ni kweli nampenda sana Boss na sina jinsi, ila baba yangu ni kama wale wababa wa kihindi mjue, nampenda snaa huwa hanifokeii bali anaanmbia ukweli wa mambo yanavyoenda wazazi kama hawa Tanzania ni wachache sana na mmoja ni huyu wa kwangu Nilienda officine sasa tukiwa tumekaa officine maaan kwa sasa office yangu ipo kwa boss alikuja mmama mmoja officine alitukuta mimi na boss ila kila mtu yupo busy "Habari zenu wanangu" alisema huku akiachia tabasamu la kweli yaani
0 Comments