𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞 SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

mpaka Baba yako anaingia kaburini hakuwa kumuumbua kuhusu hili suala....kwa kifupi aliamua kukaa kimya. Hakutaka uwe CEO wa Kampuni ya Danone kama adhabu kwa kosa alilofanya Mama yako" "Una uhakika na maneno unayo zungumza?" "Siwezi kuongea uongo, yaani kwa umri wangu huu siwezi kuzungumza vitu vya uongo....." Dada wa kazi mstaafu aliongea. "Ahsante kwa kuniambia ukweli, shika hii itakusaidia kukuwekea Ulinzi " Philips Kobe alimuachia bastola Dada wa kazi mstaafu kisha akaondoka. Mara nyingi akiwa mpweke huwa anapenda kunywa pombe. Aliingia katika Casino moja matata akaagiza pombe, muonekano wake wa kitajiri uliwavuta wadada warembo, walimzunguka kama Kuku na vifaranga wake.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments