π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦__; π‰π€πŒπ€ππˆ π’π€π‹πŒπ€ 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Sehem ya ::03 &04 &5

𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š Mwanadada Akamlaza Vizur Sky Kisha nae akalala KWA Kutizama Miguu ya Sky(Mzungu wanne) Wa Kwanza Kuamka Alikua Ni Bint akaandaa Chai Kisha Maji akapekeka Bafuni akanunua na Mswak Mpya KWA Ajili Ya Mgeni wake Kisha akamuamka Mgeni wake Sky Alipoamka Alishtuka sana Akauliza "Hivi nmelala Hapa" "Ulitaka Ukalale wapi Embu Amka Ukaoge Tuje Kunywa Chai" akajibiwa na Mwenyej wake "Kwani sangp" Sky Akauliza "Sa Tatu Hii" "Oooh Mungu wangu Nmechelewa hata na Kazini Hivi Kwanini Usingeniamsha Mapema" Sky alilalamika "Ulinipa Taarifa au mi Naota Tu Au mi Ni Jini Kujua Nitajua Taarifa zako Zote??" BASI Bint akamshushua Sky

Soma zaidi