𝗟𝗔𝗪𝗬𝗘𝗥 𝗡𝗔𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗭𝗜𝗢 SEHEMU YA 17 - 18 Mama alifurahi sana maana na yeye alikuwa amekuja kwa kaka

kumuona mjukuu wake akakutana na taarifa za mimi kuwa mjamzito , ila usiku mama alitaka kuongea na mimi chumbani hivyoo tulikaa sebuleni maan mama alinielewa jinsi nilivyoo si kanizaa anajua nikiwa sipo sawa kisaikolojia "Mwanangu naomba usinifiche kitu mimi ni mama yako nambie kila kitu kinachokusumbuaa najua una kitu kinakusumbuaa japo maisha yako yanaonekana kuwa swafi kabisa mwanangu ujuee kuna kitu sikielewi kwako mwanangu" nilimtizama tu alivyoniuliza na jinsi nilikuwa nishachoka nikaanza kuliaa nililia sana , kwa sauti kubwa "utawaamsha kaka na baba yako hebu kunywa maji afu nambie shida ni nini binti yangu?" Alinipa maji nikanywa , nikafuta machozi

Soma zaidi