𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA 11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story

𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA  11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story

baadae nikampa zawad yake ,mida y jioni ulipofika dada akaniambia Zuu kwanini tusiende beach ⛱️ kufurahia zaidi kukutan kwetu. mie nikabaki nimeguna tuna akaniuliza shida Nini Shem anakukataza au nikamjibu Kwa kitikisa kichwa yeye akaniambia ucjali tunaenda hatojua tutawai kurud . Nikamwambia naogopa akasema we twende . alivonibembeleza sana nikakubali . tukaenda beach tukaogelea ww kumbe Kuna walinz wawili mume wangu kwaajili wawe wananifuatilia . Hatukuishia apo tulivyotoka beach tukaenda shopping 🛍️🛒,Mie nikajiendea kwenye sehemu ya night dress 👗,nikachagua kimoja cha kijivu na chekundu sasa nikashindwa nichukue IP kati ya izo . Chakujitesea Nini wakati Nina mume😂 ,nikapiga picha alafu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments