Story.....................MFALME KIPOFU 9

Ilipoishia sehemu iliyopita........ Mzee yule aliongea na kuondoka zake pamoja na mjukuu wake aliyekwisha kutibiwa na kuwacha Amma pamoja na baba yake katika maswali mengi yasiyo na majibu........ ENDELEA NAYO...... "Baba ivi umemuelewa yule mzee kanishika mkono na kuniangalia lakini cha ajabu kapiga magoti mbele yangu??" "Binti yangu Amma huwezi jua hawa wazee wa zamani wanaona mambo mengi isivyo kawaida". "Ni sawa baba lakini mimi naona kuna kitu ambacho itakuwa ameona kwangu na natamani nijue nikitu gani icho alichoona" "Kila kitu kinakuja kwa sababu mda maalumu ukifika mambo yote yakuwa wazi binti yangu". Amma aliona kuna kila sababu ya kufatilia

Soma zaidi