Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10

Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10

Ilipoishia sehemu iliyopita........ Maongezi yote yaliyokuwa yanaendelea pale Lindiwe alikuwa akisikia kila kitu.. "Hii haiwezekani yani mfalme ameamua aje amtafute Prince mwingine, hapana hii haiwezekani..... ENDELEA NAYO....... Hapana hii haiwezekani,Lindiwe alijikuta akiongea kwa nguvu na kuwafanya asikari wa ADELI pamoja na kijana Cheki wasogee eneo ilipotokea sauti ile na kuangalia ni nani huyo aliyeongea. "Jamani emu tufanye mambo yaliyotuleta hapa ayo mengine hayatuhusu sisi, asikari mmoja aliongea" "Wewe huoni kama huyu mtu alikuwa anasikiliza mazungumzo yetu????" "Huo ni wasiwasi wako tu kama mtu mwenyewe ameshapatikana tuondoke nae tusipoteze mda". Walikubaliana na wakaamua kuondoka maeneo yale na iyo ikawa ni ahueni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments