
yalipotea na kuibwa, kuna vitu vingi navyo vilipotea, mpaka leo watu hawajui vipo wapi. Wengine wakaingia kazini na kuvitafuta kwa kuhisi vipo huku na kule, wakapoteza muda, pesa lakini bado hawakuviona. Haya ni baadhi ya vitu vilivyopotea ambavyo kama kuna siku utaviona mahali, hakika utakuwa tajiri mkubwa sana. Taji lenye utajiri wa dola milioni 6. Hili lilikuwa la mfalme katika jumba la kifalme la Dublin. Liliibwa mwaka 1907 na mpaka leo hakuna anayejua lilipo. Je, liliuzwa? Liliharibiwa ama? Nobody knows. Vitu mfano wa mayai vya nchini Urusi Kabla ya mapinduzi nchini Urusi kulikuwa na vitu mfano wa mayai ambavyo vilitengenezwa
0 Comments