
( 1 ---------- 5) "BABA KAMA PUNDA"🆕 (Part... 1) 👙"KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA"👙 Umri__ +🔞 (SEHEMU YA KWANZA) Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani nikiwa binti mkubwa niliyaishi sana mjini pamoja na dadaangu aliyekuwa kaolewa huko dar maeneo ya Tabata kimanga. Wazazi Wangu wao walikuwa wakihishi mkoani shinyanga vijijini na walikuwa na mifugo mingi ya aina mbali mbali ila ngo'ombe na mbuzi ndio walikuwa wengi zaidi. Kipindi nikiwa mdogo Baba alikuwa kafuga kuku wakienyeji kondoo mbuzi na khanga ng'ombe alikuwa nao watatu tu tena nilikuwa nikiwachunga Mimi pindi Dada zangu wawapo
0 Comments