MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 9

MY TRUE LOVE STORY   SEHEMU YA 9

Nikiwa nimekaa pale mara nabil akapita, aiseee alinikata jicho kana kwamba anaugulia maumivu ya kupigwa teke la chini huko, nikajifanya kama sijamuona, kwa sababu sitaki shida mimi, kisha akawasha gari lake na kuondoka… Amekuja kurudi saa mbili kasoro, wanafamilia wote tulikuwa tayar tumeshafika mezan tunajiandaa na chakula, kwa sababu ile nyumba yaan saa mbili kamili wanaanza kula, nashangaa nabil anaingia akiwa amelewa mno.. Wazaz wake walishangaa, inaonekana hajawah kuonekana amelewa hata mara moja kuanzia amefika pale, mama yake akamfata na kumuuliza shida nini akasema “ wewe ni nani? Mimi mbona sikujui, hapo anaongea kwa ile sauti ya pombe, mara akaanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments