Huu mmea unaitwa "Eskutuli ama Eshikundu" Wengine huita "Ikiraji"  Wengine huita "Echoji".

Hapa ukifunga ng'ombe, mbuzi au kondoo hawezi ng'oa 😅 Inasemekana mmea huu ni dawa; i) kama huna appettite unakula mzizi wake ii)Time mtoto amekatika kitovu, choma mzizi ya hii, weka jivu hapo. Ikaukie hapo. "Uvusura" 😂 witches never find huyo mtoto. Wewe unajua nini tena kuhusu huu mmea? 😅

Soma zaidi