MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15

Naenda bafuni nasikia sauti ya miguno ya kiume, kwa akili zangu nikajua kuwa kaingiza mwanamke, nikajikuta nimesukuma mlango, maana nilikuwa nasikia wivu mpaka nahisi kupasuka, nikamkuta mwamba anajichukulia sheria mkononi akiwa ameshika picha yangu…. Nikajikuta namuonea huruma, akaniangalia kwa aibu kisha akatoka zake chooni, nikaingia chooni kisha nikatoka, nikamkuta amejifunika na shuka gubi gubi, nikajua ameona aibu baada ya mimi kumkuta anajichukulia sheria mkononi akiwa na picha yangu… Sikutaka hata kumsumbua na mimi nikachukua shuka lingine na kulala pemben yake, sijui saa ngapi nikajikuta nimekumbatiwa kwa nguvu, nikasema hapa sijilegezi maana bado sikuwa sawa na hakutaka pia kunisumbua… Maisha yetu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments