RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 8 to 10

SEHWMU 08 Ilipoishia.......... "Kabda ya wewe kuondoka naomba nianze mimi" Mama alienda chumbani kuchukua mkoba wake. "Mbona siwaelewi kuna nini kwani. Mama umemfanya nini mke wangu. Kwaiyo ulikuja hapa kuvunja ndoa yangu?" Sam alijitia kuongea kwa Hasira. Mama yake alimtandika kibao kitakatifu. Na pasipo kuzungumza chochote aliondoka......... Endelea...... Wife makosa ya mama yangu yasiwe sababu ya kuvunjika kwa ndoa yetu. Kwa mala ya kwanza niliinua mkono wangu nikamuadhibu mume wangu. "Mama yako hausiki katika hili" Mume wangu alikaa kimya kwa alinitazama machoni kwa unyonge sana. "Sikutegemea kama wewe huyu unaweza kunisaliti kutembea na BFF wangu. Umejua kuuvunja moyo wangu Samson"

Soma zaidi