MJEDA NA BIKRA YANGU  _____________________________  SEHEMUYA 21 na 22

MJEDA NA BIKRA YANGU _____________________________ SEHEMUYA 21 na 22 * HHamweziaamini nnnilimkutaRRameckna rrithawwakiwana ttaulowwamekubatianawwakiwawwamelala ssikuwasemeshacchochote nnilitokakkimyakkimyappasipowaokkunionanniliendakkuliahhukokkwangu nnikakumbukapia aasubuhirritha aalinipaddawa aakidaikkuwanniyauzazi, nnilimuahidinnitaitumialeo nnikitokakkanisaninnilivyokumbuka nnikaamuakkumpammbwakkwenye cchakula hhamweziaaminihhatadk 3 hhazikuisha mmbwaaakakaukahhapohhapo.. NNiliogopammnonnikaanzakkuangaliana uusalamasasa wwammwanangu ila mmilardwwangualikuwa very smart,anaelewa halaka sana,nilimuomba asile chochote popote hata nyumbani, mpaka mimi mwenyewe nimpatia hata ndugu zangu,marafiki hata baba ake, mtoto alinitizama, mama usijali najua hufanyi kwa nia mbaya nakuamini... Kwa sasa mama sitokuuliza chochote kile,unaonekana, hauko sawa, naomba popote unapoenda, tuongozane huna wa kukulinda kwa sasa zaidi yangu mama, usinitazame kwa umri wangu,nimekubali maelekezo yako mama bila masharti, naomba na mimi ukubali bila excuse yoyote... Dah sikuwa

Soma zaidi