MJEDA NA BIKRA YANGU *_____________________________ *SEHEMU YA 19 na 20

MJEDA NA BIKRA YANGU  *_____________________________ *SEHEMU YA 19 na 20

MJEDA NA BIKRA YANGU *_____________________________ *SEHEMU YA 19 na 20 Basi kama kesho, nitakuandalia dawa utamtilia kwenye chakula, itakisaidia kama hii imekushinda,niliamua kuitikia tu jioni Rameck aliludi, hakunisemesha aliingia akaoga akabadili nguo, niliingia akanisemeaha,Re najua hujapika wewe wala sio let, sasa naomba jiandae wewe,let,mtoto na mimi tunatoka ni amri sio ombi... Niliwaza tunaagaje lakini nikakaza roho, tulitoka tukasema kuna mahali tutalidi, Rameck aliingia akarock mvumba mwenyewe na kuconect na simu na saa, hakuishia hapoalihakikisha kabakiza chumba jiko, na sebure, wao hawakujua... Walihisi anatafuta kitu, tulienda kula tykiwa huko alam ya simu iliita kuashilia hatali, kwenye simu na saa, tuliondoka kwani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments