𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 141

Amekomeshwa sasa chezea shemu wangu. Stewart anakupenda sana. Sikia mdogo wangu. Simamia mahusiano yako usiogope chochote yapiganie.” Nikavuta pumzi na kusema “ndiyo dada, tujiweke naye mbali sio mtu mzuri.” Dada alisikitika sana, na mara simu yake ikaita. Nilishtuka maana pia ilikuwa mpya. Akaongea alipomaliza nikamuuliza ndiyo naye akanielezea kuhusu furaha yake na Mr Fabian. Aliniambia pia watoto wanampenda na Mungu akipenda amekubali kuolewa na huyo baba. Mimi nani niache kumbariki dada yangu na kitu kizuri kama hicho. Nilifurahi sana dada pia ana furaha sasa, hana kizazi ila kapata watoto watatu kwa mara moja na atakuwa mama. Alifurahi hakika. Ulikuwa wakati

Soma zaidi