CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA KUMI*😍

Akawa akihitaji anaenda bar kwa siri bila mama ake kujua, anajiuza uko ata kwa wanaume wawili, na ili aende nao kwanza anatafuta tomboy amsage ndo akawape, ikawa nikawaida yake,mama ake akaanza kusikia tetesi, akaogopa akaanza kuwa karibu na binti yake. amuulize Ila Najma alikuwa mjanja akadal, amepata mwanaume anataka kuja kujitambulisha, mama akafurahi na kupata amani... Najma alianza kuwaza akakumbuka kuna mtu alisema, kuna kaka mmoja ni shoga japo ni CEO, akafatilia akaona akiolewa na mtu wa ivi itakua. poa ili wote watunziane siri, alianza kumchunguza mpaka akamjua, nakuanza kumwinda kumbe kakosea, ni CEO mwingine kabisa, akawa kamwekea Naseer kwenye

Soma zaidi