KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ SEHEMU YA TISA*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ SEHEMU YA TISA*

Siku zilizidi kusogea na miezi lilizidi kwenda mbele. Siku moja majira ya saa saba mchana jua kali lilikuwa linawaka, Shahid alikuwa kwenye gari na Aisha walikuwa wanaenda sehemu mara ghafla Shahid alihisi kama kumuona Shania. Aliangalia kwa makini aligundua kwa ni yeye na wakazi huo Shania alikuwa na tumbo kubwa, alikuwa kachoka alitembea huku akiwa anavuta miguu na mdoli wake alikuwa kuning'iniza. Shania. Shahid alijikuta kuongea kwa mshangao huku macho yake yakiwa yanaangukia nje kupitia dirishani na huku akiendesha gari kwa mwendo mdogo mdogo. Aisha alikuwa amesikia na akawa makini kuangalia kule alikokuwa anaangalia Shahid aligundua kuwa huyo Shania ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments