*CHAGUO SAHIHI*  SEHEMU YA....4

*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....4 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia....... "Baba mimi nataka kufanya kazi uliyonipa kisha niishie na jarden waumize wengine wote sio Jarden". "Haya njia ya pili tutume watu wamteke shuleni yule mtoto hapo vipi". Nancy kuambiwa vile akaona sawa akatikisa kichwa. Hapo ndipo tunapata kujua kumbe Nancy anaendeshwa na baba yake kufanya hayo anayoyafanya ..... SONGA NAYO....... Wiki moja ulipita ndipo siku hiyo muda ulipita ambao mtoto nafsa huwa anarudi nyumbani lakini haikuwa ivyo. Siku hiyo Manga alisubiri pasina kuona mtoto akifika. Punde alirudi Nancy mapema ndipo manga kumuona akamuwahi. "Habari za kazini dada?" "Nzuri vipi?" "Samahani nilikuwa

Soma zaidi