*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....5 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia..... "Na iwe kweli laaa sivyo nitakunyonga kwa mikono yangu". Aliongea kwa hasira na uchungu sana Jarden.... SONGA NAYO..... Chini ya serikali walifuatilia kesi ile na ukweli ika

*CHAGUO SAHIHI* SEHEMU YA....5 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia..... "Na iwe kweli laaa sivyo nitakunyonga kwa mikono yangu". Aliongea kwa hasira na uchungu sana Jarden.... SONGA NAYO..... Chini ya serikali walifuatilia kesi ile na ukweli ikagundulika kwamba Jarden ni mtoto wa bwana Msame. Baba Jarden kupokea majibu yake Palepale alidondoka chini presha ilipanda. Hata kupelekwa hospital alifikishwa katika wodi ya uangalizi maalum kwani hali haikuwa nzuri kabisa kwake. Huku nyuma sasa Ndipo bwana msame alimueleza kila kitu kijana wake ilivyokuwa ni kwamba,.... Miaka mingi iliyopita zaidi ya 30 msame akiwa kijana wa miaka 22 alitoka kijijini kwao na kufika mjini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments