
baada ya kustaafu kucheza soka 2008 na kueleza kuwa ya tofauti sana. Okocha ameeleza kuwa maisha yake yalianza rasmi baada ya kuacha soka ila anakiri ni maisha magumu unakuwa uwanjani mashabiki 60,000 wanaimba jina lake siku inayofuatia unakuwa nyumbani peke yako mpweke. Maisha ya soka hayana kiinua mgongo wewe ndio serikali wewe ndio kila kitu ila nashukuru nilijifunza maisha ya kweli baada ya kustaafu soka. Niliamua kufanya uwekezaji wa kujenga manyumba na kununua ardhi sikuwa na tamaa ya kufanya kitu nisichokijua kitu ambacho kinanipa amani ya moyo. Nilikuwa natumia pesa zangu za kusaini mikataba kuwekeza halafu bonasi ndio nilikuwa natumia
0 Comments