MADAM NIPE KIDOGO BASI ……… 3

Kila mtu alimshangaa, maana alikuwa ni kijana mwenye nidhamu sana, hakuna mtu hata mmoja ambae angefikiria kuwa yale majibu yalikuwa yanatoka kwa Kendrick… Kuna mwalimu alikuwa anaitwa Feisal alikuwa ananitaka, akataka sasa kwenda kummalizia hasira, ila mwalimu mmoja akaja akasema “ muacheni mimi nitaongea nae… “ unajua kafanya nini huyu kijana, amemtongoza mwalimu, anatakiwa kuadhibiwa vikali sana, akasema mwalimu Feisal na wakati huo Kendrick hakuwa hata na wasiwasi kana kwamba anachokifanya ni sahihi sana….. Yule mwalimu akamfata na kumuuliza ‘ unampenda sana madam si ndio.. Kendrick akawa kimya, walimu waliokuwa pale wakawa wanataka kimchapa. Ila Yule mwalimu alikuwa ni mwalimu

Soma zaidi