
Alikubali kila kitu,baada ya wiki 2 tuliingia wote kazini mimi na yeye toka tufunge ndoa ni mwezi sasa hatujafika ofcn, ajabu kufika sectary alieajiliwa ni mke wa P, na ameshajitangaza na picha ya ndoa yao kabandika ukutani kwa kila mfanyakazi, ni kusemwa tu nasemwa, yani niliishiwa pozi, P hakuingia ofcn alikuja ofcn kwangu, kakuta ninaandika barua ya kuacha kazi, alinikumbatia tu... Akaitisha mkutano wa wafanyakazi wote,kumbe yule mke wa p alivyojua tu leo tumefika alihisi tu ataaibishwa, akampigia mama mkwe wake aje kuokoa jahazi, tukiwa kwenye mkutano wa dharula, P aliwatangazia wote marufuku kuweka picha yoyote ofcn kwake, kama sio
0 Comments