
Naitwa Vicktoria , nina umri wa miaka 30, mwaka 2020 niliajiriwa katika mkoa wa tabora, wilaya ya kaliua kwenye shule ya secondary ya muongozo kama mwalimu wa somo la hesabati na chemia, nilikuwa nina mwili mdogp sana, na rangi ya kahawia, na umbo maridadi sana, kana kwamba ungeliona umbo langu kabla ya kuniona mimi huenda ungehisi lile umbo sio la kwangu…. Wakati naajiriwa nilikuwa nimeshaolewa kama miaka minne nyuma, ila kwa bahati mbaya au nzuri, niliondoka kwenye ndoa miaka mitatu baada ya kuolewa na nilitoka kwenye ndoa, maana mwanaume alinioa alikuwa mlevi na anapiga sana nikaona cha kujifia nini, hivyo
0 Comments