MJEDA TARATIBU BASI SEHEMU YA KUMI NA MBILI

__________________________________ Dunia ni ndogo sana yaani sana, hamwezi amini aliekuwa mbele yangu ni mjeda, yaani uyu ety ndo baba Amina, nyie nilishindwa kujizuia hapo hapo nikakunja sura, nikicheki pembeni mtoto na yule mzee, nikatumia tu hekima uku nina hasira inaonekana kabisa... Nilishika simu yake nikasema tu samahani nimepata dharula naomba niende nitarudi siku nyingine muda huo nishaanza kutoka... Ilikuwa ghafra sana, kabla hata sijafika mbali Wala sikusuburi jibu, wakiwa wanatahamaki mjeda akaniwahi kwa mbele, akashika mkono wangu, niliogopa mpaka kisimu changu cha Tecno kipya Cha laki na nusu, kikadondoka Kwa hofu, nakusambaratika kabisa... Mjeda alinitizama uku kanikaza mkono, afu akasema

Soma zaidi