MJEDA TARATIBU BASIIII..!!! SEHEMU YA KUMI NA TATU

MJEDA TARATIBU BASIIII..!!! SEHEMU YA KUMI NA TATU

______________________ Nilinyanyuka na hasira zangu, nikampiga kibao hicho , lakini hata hakushtuka wala kunizuia, badala yake aliniambia nipigie mpaka hasira yako itulie, nipige mpaka utakaporizika ila tu unisamee... Nilimpiga mpaka nikawa naumia mwenyewe, mikono ikavilia damu,nikajikuta naumia mikono, alinituliza kwa nguvu, akanikaba nisifurukute kisha akanipaka dawa sehemu nilizoumia... Naomba tu nikwambie, jifunze kunisamehe, jifunze kunipenda, kwa sababu sikuachi, najua nilifanya kosa nikakuachia hapa ukitoa miguu yako, utaenda waambia wale kaka zako, watakuondoa tena nikukose, japo najua lazima nitakupata, lakini itanichukua muda sasa Ili tusipoteze muda, hautoenda popote tena, kama ni kazi utakuja kufanya ukishakuwa na akili timamu sio hizi ulizonazo...

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments